Blogger news

28 July 2014

NAPENDA UFAHAMU HAYA MACHACHE

Ya kwamba Adam,Ibrahimu,Yakobo,Sulemani,Daudi,Nuhu,Ezekieli,Daniel na mitume wengi na manabii waliuokuapo kipindi cha Agano la kale hawakuwahi kuwa wakristo wala waislamu kwani ukiwaambiwa watu kuwa watu hawa walikua wapo katika moja ya hizi dini utawaongopea ila kristo alikuja kuukomboa ulimwengu japo na yeye hakua mkristo ila aliuacha ukristo nyuma yake

05 May 2014

LOLIWE WIMBO WA DINI ULIO ELEWEKA TOFAUTI NCHI TANZANIA KWA KUTO KUELEWA LUGHA VIZURIZahara ni mwanamuziki wa nyimbo za injili kutoka nchini Afrika kusini.Amepata mafanikio makubwa sana mwaka 2013/2014 kwa wimbo wake wa loliwe ambao umemtambulisha vema sana licha ya wimbo huo ana nyimbo nyingi kama Ndiza..... na nyingine nzuri ila loliwe ndo maarufu sana na umepokelewa vizuri sana nchini Tanzania ambako ndo umepata mashabiki wengi sana bila kujua maana halisi ya wimbo huo ila kiukweli Zahara ni mwanamuziki wa nyimbo za injili na ieleweke ivo

31 March 2014

YOWERI MUSEVENI ANASTAHILI PONGEZI NA MOAMBI ZAIDI KWA KUA SHUJAA WA KUPINGA USHOGA TENA KWA SHERIA KALI SANA JE TANZANIA WAKO WAPI?


Katika hali ambayo sio ya kawaida na ya kushangaza hasa kwa nchi za Afrika raisi wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni nameushangaza ulimwengu kwa kuugomea ushoga hadharani pamoja na kuwekewa vikwazo ameshikilia vikali msimamo wake wakuinga ndo za jinsia moja yaani wanawake kwa wanawake na wanaume kwa wanaume kwaani ni tendo la laana linamkera hadi mwenyezi mungu,binafsi namuweka Museveni kwa mashujaa wa Afrika maana hajababaika wala hajamung'unya amesema wazi hataki na iwe sheria katika kizazi hiki kikaidi maana limekua janga la dunia nimempenda sana raisi Museveni na Mungu amkumbuke kwa hili ampe neema na rehema tele.

22 January 2014

NI MWAKA WA NEEMA MCH THOBIAS THAMBIKENI AMETANGAZA NEEMA KWA WATANZANIA

Mchungaji wa kanisa la Tanzania ass of God Forest ya zamani Mbeya jijini Mch Thobias Thambikeni Kupitia ibada ya Mwaka mpya aliwamkia watanzania maneno ya baraka na kusema kua huu mwaka 2014 ni mwaka wa neema kwa watanzania wote na kuwasihi watanzania kumcha bwana maana pekee ndiye kimbilio la kila mmoja na pia kuilinda amani ya taifa letu kwa ni tunu pekee tuliyopata kutoka kwa mungu.

23 September 2013

MKUTANO WA NENO LA MUNGU T.A.G FOREST YA ZAMANI MBEYA


NI KATIKA KANISA LA T.A.G FOREST LA JIJINI MBEYA 

Kanisa la T.A.G Forest-Mbeya


Mkutano wa neno la Mungu umeanza leo tarehe 22;09;2013 katika viwanja vya kanisa la T.A.G. forest lililopo karibu na mahakama kuu ya jijini Mbeya.

Mchungaji kiongozi Jeremiah Kasumo na Mzee wa kanisa Dr. Neiman

Mkutano huo ambao ulihudhuliwa na mamia ya wakazi wa jiji la  Mbeya  ambapo mnenaji wa mkutano huo kwa leo alikuwa ni Mchungaji Thobias Tambikeni ambaye ni Mchungaji msaidizi wa kanisa hilo.

Mchungaji Thobias Tambikeni

Alifundisha  Somo la "SIRI YA INJIRI" ambapo maandikio ya somo yalitoka katika kitabu cha Daniel 5;25
ambayo inasema "Na maandiko yaliyo andikwa ni haya MENE,MENE,TEKELI NA PERESI na tafsiri ya maneno haya ni hii MENE "Mungu amehuhesabu ufalme wako na kuuokomesha " TEKELI "Umepimwa katika mizani nawe umeonekana umepungua" PERESI "Ufalme wako umegawanyika nao wanapewa wamedi na wajemi. Ndipo Belishaza akatoa amri ,nao wakamvika daniel mavazi ya zambarau, wakatia mkufu wa dhahabu shingoni mwake ,wakapiga mbiu kutangaza habari zake ya kwamba yeye ni mtu wa tatu katika ufalme , Usiku huo Belishaza mfalme wa wakaldayo akauwawa . Na Dario , Mmedi akaupokea ufalme , naye umri wake ulikuwa miaka sitini na miwili"

Mchungaji Thobias alisema "Mungu alijifunua kwa taifa la Israeli, pia ana mpango mzuri na wewe ndio maana akawaweka Manabii" 
Pia alihubiri neno kwa kusema Siri ya injiri ni kuamini na kumpokea Bwana Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako. Maana maisha ya utumwa ni mabaya sana pia alitolea mfano kipindi cha wajerumani wakati wanatengeneza reli ya kutoka Mwanza kwenda Dar na Kigoma-Dar walitumia watumwa ambapo walikuwa wanafanya kazi kwa viboko na hii anaifananisha na maisha ya mkristo ambaye bado anaishi katika maisha ya utumwa yaani maisha ya dhambi,"

 Mchungaji Thobias akihubiri


Pia Mchungaji alisema " Matatizo unayo yapitia chanzo chake ni dhambi"  Katika maandiko Mfalme aliandaa sherehe  ambayo haikumpa Mungu utukufu,
Yesu yupo leo geuka na utubu maana kuna nguvu katika toba na Mungu wetu ni wa rehema nyingi.

Mzee wa kanisa Mr. Mwambuga na Sumaye

 Mchungaji akifanya Maombezi

Mr. Dossa Mzee wa kanisa akifungua mkutanoPraise team wakimtukuza Bwana

Mama mchungaji msaidizi


Watu wa Mungu wakimpa sifa Bwana
Mzee wa kanisa Mr. Ngui akimtukuza Bwana


Mzee wa kanisa Mr. Kipopota


Mguso ndani ya watu wa MunguLameck Milliam akimba sifaKwaya ya Praise Wakimtukuza Bwana


Kwaya ya Praise wenyeji wa mkutano huo
Mr. Ibrahim katika mkutano


Mr. Geofrey akitazama jambo


Wapiga vyombo vya muziki
Kusanyiko la watu wa Mungu


Bayo akiwa na Mwandishi wa apostledarmacy.blogspot


ENDELEA KUFUTALIA HABARI NA MATUKIO YA MKUTANO HUU KUPITIA apostledarmacy.blogspot.com.

Bless u